Wednesday, October 31, 2012

H-baba ameanza kutembea na flash yenye wimbo wake anao dai kuwa aidia yake imeibwa na msanii mwenzake wa kizazi kipya Diamond Platinumz,wimbo huo unaokwenda kwa jina la "nataka kulewa" aliohutoa hivi karibuni. pia msanii huyo anadai kuwa Diamond amewalipa watu pesa ili waweze kuiiba flashi hiyo ili kuondoa ushahidi wa wizi wa wimbo huo kutoka kwa H-baba.

No comments:

Post a Comment